Tuesday, November 24, 2015

Father's dream- rap song  lyrics

Intro.
Laughter,yeah! Manze, kuna watu hu-bonga sana yani,watu hubonga sana,
na hata hatusaidiani  unajua,wacha wabonge I'll be busy doing my thing, and you know ni IGNNO,Motif on the beat

Verse 1.
Akili ni nywele wanataka kuninyoa,pia my wings wanataka kuning'oa,
Nawacheki kwa umbali, wanafuata yangu dira ,kila mimi niki fly wanashikwa na hasira,
Mziki riziki, si kitambo walisema kuwa mimi nimechizi,
nikiwa busy mikiki,angalia saa hizi,
nawazika mazishi ,mahasimu mashizi, wala mimi si fichi,
misitari ni zebra,hii muziki ni wera,
mazingira ni terror, na kunoa ni error,
macho yangu ni radar, usidhani ni vela,
mwanaume ni chedar, mtoto mzuri ni Vera, but I can't bleach my skin cause I like my kiwi shine,
f* you motherfucker kwenye giza nina shine,
shorty nina buy, wale pale wanalie wanalie na maisha na enjoy kabla mimi sija die

Chorus
Welcome to my dream, to my father's dream,
music is my castle, music is my hustle ,
I'm burning every muscle, they never know my struggle,
you suckers talk a lot, you suckers talk a lot*2

Verse 2
Hallo hallo fellows, bado mimi nina pedal,
nyuma sitazami unaweza soma lebo,
nani kama mimi, na bambisha hivi,
flow yangu heavy mashabiki wanachizi,
kufikia hapa mnajua sio easy,
 na mbona nisicheke marafiki ivi ivi,
mafuns nashukuru kila siku tena sana,
nakama yamepangwa ni wangapi watakana,
nazidi shinikiza kama ubani kanisani
hata pia wapinzani hawatoshi kwa mizani,
nakama vile funza bado mimi nachibuwa,
utadhani ni mafua vile mimi nasumbua,
masela nime tuwa kama jua na macheo,
 na bado mwanisoma kama vile taifa leo,
sipotezi mwelekeo, iwe kesho iwe leo ,
iwe shorty na vileo, nina kita kwa uteo

Chorus
Welcome to my dream, to my father's dream,
music is my castle, music is my hustle ,
I'm burning every muscle, they never know my struggle,
you suckers talk a lot, you suckers talk a lot*2

Verse 3
Machungu ya maisha yana dunga kama knife,
akianani imekuwa si rahisi kusurvive,
 nanimetoka mbali saa hizi nina rise,
maboys kwa mitaa, wanauliza kwani how?
kote nina vuma cheki tree zina bow, wow!
IGNNO kwenye nare over here mpaka devil yuakimbia
niko deep, in the dream, kila siku nasinzia,
mahaters wana-wish, ninge stagger like this,
kama mlevi kwenye bia nisiweze kufiki-ye ama nivile wana fear,
pesa natafuta nikifoka kwenye snare,
uvivu siezi leya niliacha kuotea,
maisha yako fair and I'm happy doing this
nina fanya fanya this, kama vile do-biz,
the haters wanataka kuninyonga kama tie
nikishoot kama star wana-wish ninge die

Chorus
Welcome to my dream, to my father's dream,
music is my castle, music is my hustle ,
I'm burning every muscle, they never know my struggle,
you suckers talk a lot, you suckers talk a lot*2