Sunday, April 1, 2012

CHANGES BY IGnno (lyrics)


Yelele yo Yelele yo Yelele yo ha
 Yelele yo Yelele yo Yelele yo ha

Every time niki kaa nina waza ju ya situation ndani  ya gheto yeah
Then I say what type of world people are living in
What kind of things are people practicing inside
The ghetto yeah
Ni uwizi me sijui ni kupigana me sijui
All I know is people need some change  ye yeyeh
 is people need some change
All I know is people need some change ye yeyeh

CHORUS
Who’s gonna bring the change we need
For us as a people yeah
Who’s gonna bring the change we need
 For us as a people yeah……

VERSE 1
Nilipo niko sawa sina wasiwasi
 Nawa tazama wale wanaenda kasi
Mbio sakafuni milio ni risasi
Hali kawafanya hawako tena nasi

Kimya bado ninawaza nyumba matofali
Milima na mabonde maisha si asali
Ni Mola pekee, hakuna anayejali
Dunia wame aga wakifuata mali

Wapi wanaelekea dhambi wamelewa
Tunavyo ishi tuko vita usije ukapotea
Je utapata kuponea pokelewa
 Kwa Masiah chunga tena usije ukachelewa

Washikaji wanaulizia niko wapi
Mlangoni najaribu kufungua chapi
Nitapata nacho taka nitafika nako taka
Nyayo za Masiah bado  mimi nina fuata

CHORUS
Who’s gonna bring the change we need
For us as a people yeah
Who’s gonna bring the change we need
 For us as a people yeah

VERSE 2
Siku njema zita kuja lini tafadhali
Mama Kanisani bado mimi nina sali
Picha huku zanijia nikitafakari
Pale masela ame lala chali

Pole  kwa wale walio pata kufiliwa
Mayowe wengine wana tena kuzaliwa
Maisha ni maua hakuna kurudiwa
Maswali bado nauliza bila kujibiwa

Wanafuata ya dunia wanakesha wakilia
Wengi wamekufa hawakutarajia
Ndugu mpaka lini utazidi kukimbia
Mauti yana kuandama ebu fikiria

Nakusihi badilisha yako mavazi
 Nipe nafasi nikueleze wazi
Wengi wanaota ndoto wakipanda ngazi
Uhuni ikiwa kazi jeneza malazi

CHORUS
Who’s gonna bring the change we need
For us as a people yeah
Who’s gonna bring the change we need
For us as a people yeah

 Who’s gonna bring the change we need
For us as a people yeah
Who’s gonna bring the change we need
For us as a people yeah

Who’s gonna bring the change we need
For us as a people yeah
Who’s gonna bring the change we need
For us as a people yeah