Tuesday, March 6, 2012

FALL DOWN LYRICS


(Wanataka niwe down ni fall kama tower) 4
Saa zengine baba ningetaka uwe hai, kunicheki na ma dreams kabla huja die,kote nako enda nakusanya na kufanya, bado wana maka hali ina wachanganya,
Kwa wingi nili Sali mola wangu tafadhali, imekuwa vipi kila siku wembe kali, nifaye kwenye Mali fikra zangu za kuwai, sahani ya fahari lazma Mimi nitawai
Sidhani kunaswali nikitaka mambo shwari, njiani me tayari wakieka matofali, nimekuwa hell,kalamu hitambui, wanasema mengi huku hata hawajui
Tokeni kwenye kichwa changu mimi nimekanya,upuzi siku zote nafsi bana imekana,dau linazama wanalipa tangu Jana,kiufalme  ninaishi nini watafanya
Chorus
(I wish for the blessings kilamara kama shower God see me through pliz nipatie power)2,(wanataka niwe down ni fall kama tower)4
Verse 2
Sina sorry Kwa mahaters na simama tall, vipi nita fall IGnno hii ndio call, napepea kama eagle nina big ego, wanataka niwe down wana score zero
Game nime furnish huku wanatalk rubbish bado wako luggish mbona Mimi niwajali, bila Mimi kwenye game kote kuna giza,   nime carry keys yawabidi kusikiza
Fikra bado nyingi wamekwenda bila bye, cheki mitaani vile wazazi wana cry, rest in peace Kwa maboys wangu wa Huruma, bado niko hai this life nasukuma
Never been a smuggler big up kwa ma hustler,spreading love everywhere bado niko higher,getting stronger everytime mpaka wana gwaya,-mpaka wanagwaya
Chorus
(I wish for the blessings kila mara Kama shower, God see me through pliz nipatie power) 2, (wanataka niwe down ni fall kama tower) 4
Verse3
Safi sina wasiwasi nina kwenda kasi, kivumbi nimeacha wana zidi piga chafi, mbona kukejeli, nimeselii, nime jelly, wangetaka nieze felli ninasema kweli,
Bado niko heavy kama zile chuma reli, mzea, mzea bado na pepea, rhymes na kupea, haters wako where, daily wana snare lakini nawa scare
Mbona wana bother mimi nikivuka border bro pliz zima nare mimi sita faulter,hasana, hasana,wanashika tama,sitazami hapa natazama  mambo pana
Wengi wana udhi ,rappers wanachuki,cheki tunalia bunge wana Kula mbuzi, daily kuna tention,mengi sija mention,ma boys kwa kitaa sisi pia nima heroes
Chorus
(I wish for the blessings kilamara Kama shower God see me through pliz nipatie power) 2, (wanataka niwe down ni fall kama tower) 4